Wakaazi Wa Kaunti Ya Kilifi Wazidi Kukumbwa Na Ukame

EbruTVKENYA 2021-12-06

Views 4

Huku Janga La Kiangazi Likiendelea Kukumba Maeneo Mengi Nchini,Kaunti Ya Kilifi Ni Mojawapo Ya Maeneo Ambayo Yameathirika Pakubwa Huku Wakaazi Wakisalia Kukosa Maji Na Chakula.Wakaazi Hawa Sasa Wanaitaka Serikali Na Wasamaria Wema Kuingilia Kati Ili Kupoza Makali Ya Njaa.

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS