Naibu Wa Rais William Ruto Anapania Kukamilisha Ziara Yake Ya Siku Tano Eneo La Pwani Hapo Kesho Jumatatu.Ruto Akiandamana Na Wandani Wake Waliendeleza Ajenda Ya Uchumi Wa Kuwafaidi Wananchi Walalahoi Kabla Ya Wanasiasa.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//