Naibu Rais Amtaka Rais, Raila Kuliomba Taifa Msamaha

EbruTVKENYA 2021-07-21

Views 8

Naibu Rais William Ruto Sasa Anamtaka Rais Kenyatta Pamoja Na Wendani Wa Mchakato Wa Bbi Kuliomba Taifa Msamaha Kwa Kile Anachodai Ni Kulipotosha. Akizungumza Kaunti Ya Machakos, Ruto Anasema Kuwa Agenda Ya Serikali Ya Maendeleo Iliharibiwa Pale Ambapo Rais Kenyatta Alikubali Kufanya Kazi Na Kinara Wa Odm Raila Odinga.

Share This Video


Download

  
Report form