Hisia mseto zinazidi kuibuka kuhusu kauli mbui ya kampeni ya naibu Rais William Ruto ya kupiga jeki kiuchumi wakenya mskini. Na huku Ruto akikariri kuwa muundo huo ndio dawa ya donda sugu la umaskini Kenya, wapinzani wake wanadai kuwa ni njama tu ya kutwaa uongozi.