Naibu Wa Rais William Ruto Amepiga Hema Eneo La Magharibi

EbruTVKENYA 2022-01-28

Views 28

Naibu Wa Rais William Ruto Hii Leo Ameelekeza Kampeni Yake Eneo La Magharidi Ili Kuwachumbia Wapiga Kura Kumuunga Mkono Katika Azma Yake Ya Urais Ifikapo Agosti 9 Mwaka Huu. Ruto Ameandamana Na Kinara Wa Anc Musalia Mudavadi Na Yule Wa Ford Kenya Mosea Masika Wetangula.

Share This Video


Download

  
Report form