Opareshini Ya Kusaka Miili Mto Enziu Yaingia Katika Siku Yake Ya Nne

EbruTVKENYA 2021-12-06

Views 1

Mamia Na Ndugu Na Marafiki Wa Waliofariki Katika Ajali Ya Gari Katika Mto Wa Enziu Eneo Mwingi Kaunti Ya Kitui Wamefika Katika Vyumba Vya Kuhifadhi Maiti Eneo Hilo Ili Kuchukua Miili Ya Jamaa Zao Waliofariki Katika Ajali Hiyo.Haya Yanajiri Huku Oparesheni Ya Kusaka Miili Zaidi Ikiingia Katika Siku Yake Ya Tatu Kwani Inakisiwa Kuwa Miili Ambayo Haijatolewa Katika Mto Enziu

Share This Video


Download

  
Report form