Wanasiasa Wanazidi Kupuuza Miakakati Ya Wizara Ya Afya

EbruTVKENYA 2021-09-21

Views 7

Mikakati Ilyowekwa Na Wizara Ya Afya Imesalia Kuwa Tu Wimbo Kwani Wanasaiasa Wanazidi Kuandaa Misururu Ya Kampeni Kote Nchini Huku Kenya Ikizidi Kushuhudia Ongezeko La Virusi Vya Corona. Naibu Rais William Ruto Hii Elo Aliandaa Kampeni Kaunti Ya Makueni Ambapo Maelfu Ya Wakaazi Kutoka Kaunti Hiyo Walikongamana Bila Kuzingatia Umbali Wa Kimwili. Hali Sawia Ilishuhudiwa Kaunti Ya Momabasa Siku Kadhaa Zilizopita Ambapo Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga Pamoja Na Wendani Wake Walikuwa Wanajipigia Debe Katika Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2022.

Share This Video


Download

  
Report form