Huenda Ukachukua Takriban Kama Miezi Mitatu Ndipo Chanjo Ya Corona Ihakiki Utendakazi Wake Mwilini.Hayo Ni Kulingana Na Wizara Ya Afya Iliojitokeza Na Kusuta Vikali Wakenya Wanaosusia Masharti Ya Corona Baada Ya Kuchukua Chanjo Hiyo.Na Kama Anavyoarifu Mwanahabari Milliah Kisienya Kususia Kwa Masharti Ya Corona Kumeliona Taifa Likipanda Katika Viwango Vya Maambukizi Ya Corona Hadi Asilimia 22.