Raila Asema Mahakama Ilinyima Nchi Fursa Ya Maendeleo

EbruTVKENYA 2021-08-27

Views 6

Kinara Wa Odm Raila Odinga Anasema Uamuzi Uliotupilia Mbali Kuhusiana Na Mchakato Wa Bbi Ulilinyima Taifa Maeneo Bunge. Raila Anasema Kutokana Na Uamuzi Huo Taifa Sasa Halitapata Maeneo Bunge Hayo Hadi Pale Tume Ya Uchaguzi Nchini Itakapoamua Kuhusiana Na Mipaka Mipya Ya Maeneo Bunge. Akizungumza Na Baadhi Ya Stesheni Za Radio Humu Nchini Raila Amesema Ingawaje Hakubaliani Na Uamuzi Huo Ameuheshimu Na Hatakata Rufaa. Lakini Swali Ni Jee Raila Ambaye Alikuwa Mtetezi Wa Katiba Alibadilikia Wapi?

Share This Video


Download

  
Report form