Mahakama Yaamuru 5 Wana Kesi Ya Kujibu

EbruTVKENYA 2021-09-20

Views 0

Mahakama Imewapata Washukiwa Watano Wa Mauaji Ya Wakili Willie Kimani Kuwa Na Mashtaka Ya Kujibu. Jaji Jessie Lessit Ameamuru Kuwa Watano Hao, Polisi Wanne Na Mdokezi Mmoja Wa Polisi Wako Na Kesi Ya Kujibu Baada Ya Kupitia Ushahidi Ambao Ulitolewa Na Upande Wa Mashtaka. Tano Hao Ni Pamoja Na Fredrick Leliman, Stephen Cheburet, Sylvia Wanjiku, Leonard Mwangi Na Peter Ngugi.

Share This Video


Download

  
Report form