Mudavadi Amemfokea Raila, Asema Viongozi Wanaoshindwa Katika Uchaguzi Wakubali

EbruTVKENYA 2021-08-29

Views 4

Mwenyekiti Wa Chama Cha ANC Musalia Mudavadi Amemfokea Kinara Wa Odm Raila Odinga Kwa Madai Ya Kuwa Anawakusanya Wananchi Wasio Na Kazi Katika Mikutano Na Kueneza Janga La Corona Kwa Njia Ya Kujaribu Kubadilisha Katiba Kwa Maazimio Ya Kibinafsi. Akizungumza Katika Kanisa Katika Kaunti Ya Kiambu, Mudavadi Amewasihi Wananchi Wadumishe Amani Katika Uchaguzi Mkuu Ujao.

Share This Video


Download

  
Report form