Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia

Views 4

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini mara nyingi huelezea Biblia kwa watu na kuwafanya washikilie Biblia. Kwa kufanya hivi, je, kwa kweli wanamwinua Bwana na kutoa ushahidi kwa ajili Yake? Watu wengi hawawezi kufahanu hili. Wachungaji na wazee huinua maneno ya mwanadamu ndani ya Biblia, kutumia maneno ya mwanadamu ndani ya Biblia kuchukua nafasi ya Bwana na kupinga maneno ya Bwana, na kuwaongoza watu katika ushirikina na kuabudu Biblia, ili Mungu atakapofanya kazi Yake mpya watu wengi wanajua tu Biblia na hawamjui Mungu, hata mpaka ambapo wanampiga Mwenye mwili msumari msalabani kulingana na Biblia. Kulingana na ukweli huu, je, wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini kweli wanamtukuza Bwana kwa kuelezea Biblia? Video hii fupi itakufunulia ukweli.

Tazama zaidi:
Kupata Mwili (1):
https://sw.kingdomsalvation.org/special-topic/mysteryofincarnation-one.html

Kupata Mwili (2):
https://sw.kingdomsalvation.org/special-topic/mysteryofincarnation-two.html

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433

Barua Pepe: [email protected]
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192
WhatsApp: +254-700-427-192

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS