Musalia Asema Haitaji Kuidhinishwa Na Rais Uhuru Kushinda Uchaguzi Wa 2022

EbruTVKENYA 2021-10-03

Views 10

Kinara Wa Chama ANC Musalia Mudavadi Amepuuzilia Mbali Madai Ya Kungoja Kuidhinishwa Na Rais Uhuru Kenyatta Katika Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka 2022.Musalia Kwenye Hafla Ya Kanisa Hapa Jijini Nairobi Amesema Wananchi Ndio Wa Kuamua Kiongozi Wanaetaka Na Si Kundi Fulani La Viongozi. Kundi La Wazee Lafokea Hospitali Zinazowanyanyasa

Share This Video


Download

  
Report form