Raila Asema Atatii Uamuzi Wa Wafuasi Wake Kugombea Urais Mara Ya Tano

EbruTVKENYA 2021-11-28

Views 18

Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amerejea Hapa Jijini Nairobi Alikorindima Ngoma Ya Azimio La Umoja. Raila Akiwa Ameandamana Na Wandani Wake Amesema Yuko Tayari Kuitikia Uamuzi Wa Wafuasi Wake Kuwania Tena Katika Nafasi Ya Urais.Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti,Raila Anasubiriwa Kwa Hamu Na Ghamu Kutoa Taarifa Yake Mnamo Tarehe 10 Mwezi Disemba.

Share This Video


Download

  
Report form