Gavana Wa Kaunti Ya Kakamega Fernandez Baraza Amesema Kwamba Ni Jukumu La Serikali Kuu Kupitia Wizara Ya Fedha Kuhakisha Kwamba Hakuna Bakshishi Ya Pesa Za Mgao Wa Fedha Za Kaunti, Hili Kusuluhisha Tatizo La Madeni Ya Kaunti, Baraza Aliya Sema Haya Siku Moja Baada Ya Rais William Ruto Kutia Saini Bajeti Ya Ziada Ya Matumizi Na Serikali Ya Kitaifa. Hata Hivyo Baraza Amesisitiza Kwamba Wataendelea Kupiga Msasa Madeni Ya Kaunti Zote Ili Kutathmini Ambayo Yanastahili Kulipiwa.