Baraza La Magavana Wakishirikiana Na Kongamano La Wawakilishi Wa Wadi Wamepuuzilia Mbali Notisi Ya Serikali Kutaka Mpango Wa Malipo Ya Uzeeni Kuwekwa Chini Ya Usimamizi Wa Serikali Kuu. Kwenye Taaarifa Kwa Vyumba Vya Habari Magavana Wanateta Kwamba Mpango Huo Wa Uzeeni Hauna Uhusiano Na Serikali Kuu.