Kesi Ya Mauaji Ya Aliyekuwa Mwanafunzi Wa Chuo Kikuu Sharon Otieno Na Mtoto Wake Ambaye Hakuwa Amezaliwa, Inayomkabili Gavana Wa Migori Okoth Obado Imeingia Siku Yake Ya Pili Hii Leo Huku Maafisa Wa Polisi Na Daktari Wa Serikali Waliokuwa Katika Eneo La Mkasa Wakitoa Ushuhuda Wao. Kikaoo Cha Leo Kimeshuhudia Hali Ya Vuta Ni Kuvute Baina Ya Mashahidi Na Mawakili Wanaowakilisha Upende Wa Washukiwa Ambao Walikuwa Wanajaribu Kuhkiki Ushahidi Wao.