Serikali Yaishutumu Mahakama Kwa Kulegeza Kamba Katika Kesi

EbruTVKENYA 2021-07-16

Views 1

Uhasama Baina Ya Mahakama Kuu Na Serikali Umechukua Mkondo Mpya Huku Mwanasheria Mkuu Paul Kihara Kariuki Akinyoshea Idara Ya Mahakama Kidole Cha Lawama Kwa Kukamishwa Juhudi Za Wakenya Kupata Haki Kuhusiana Na Kesi Nyingi Ambazo Hazijatatuliwa Mahakamani. Aidha Jaji Mkuu Martha Koome Alijiepusha Na Nipe Nikupe Hiyo Ambayo Imeshamiri Kwa Muda Baina Ya Idara Ya Mahakama Na Serikali Kuu. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi.

Share This Video


Download

  
Report form