Baadhi Ya Wandani Wa Rais Uhuru Kenyatta Wamemtaka Mwanasheria Mkuu Wa Serikali Kutoelekea Mahakama Ya Upeo Kupinga Uamuzi Wa Mahakama Ya Rufaa Kuidhinisha Uamuzi Wa Mahakama Kuu Kuamuru Kwamba Mchakato Wa Maridhiano Na Kujenga Madaraja Si Halali.Usemi Huu Umeungwa Mkono Na Kinara Wa Chama Cha Anc Musalia Mudavadi Aliyesema Alitaraji Mahakama Ya Rufaa Kuidhinisha Uamuzi Wa Mahakama Kuu Kutokana Na Makosa Makubwa Yaliokuwemo Kwenye Bbi.Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyokuarifu,Kinara Wa Chama Cha United Green Movement Agostino Neto Amemtaka Rais Kenyatta Kutekeleza Ripoti Mbalimbali Za Tume //
0 Comments
Sylvia Opapa
Add a public comment...