Seneta Wa Meru Mithika Linturi Aachiliwa

EbruTVKENYA 2022-01-11

Views 4

Seneta Wa Meru Mithika Linturi Ameachiliwa Kwa Dhamana Ya Pesa Taslimu Shilingi Milioni Mbili Au Mdhamini Wa Kiasi Cha Shilingi Milioni 5 Kutoka Na Tuhuma Za Kutoa Matamshi Ya Uchochezi Na Chuki Katika Kampeni Ya Naibu Wa Rais William Ruto Jumamosi Mjini Eldoret.Huku Linturi Akiachiliwa,Mbunge Wa Kitutu Chache Richard Onyonka Naye Amekamatwa Na Makachero Wa Dci Kutokana Na Madai Ya Semi Chuki Zilizolenga Kugonganisha Jamii.Hata Mawakili Wakiongozwa Na Danstan Omari Wamesema Kuwa Agizo La Haji Linakinzana Na Matakwa Ya Katiba.

Share This Video


Download

  
Report form