Raila Azidisha Vijembe Dhidi Ya Seneta Wa Meru

EbruTVKENYA 2022-01-10

Views 3

Kinara Wa Odm Raila Odinga Amezidisha Vijembe Vyake Dhidi Ya Wendani Wa Naibu Rais William Ruto Wanaohusishwa Na Semi Za Chuki Akisema Kuwa Semi Za Seneta Wa Meru Mithika Linturi Zina Uwezo Wa Kuleta Vita. Raila Na Wendani Wake Waliozungumza Kaunti Ya Kajiado Wanasema Kuwa Viongozi Wanapaswa Kutumia Ushawishi Wao Kuleta Wakenya Pamoja

Share This Video


Download

  
Report form