Kaunti Ya Nairobi Imemulikwa Kwa Kuvuta Mkia Katika Uorodheshwaji Wa Idadi Ya Wanafunzi Wanaojiunga Na Kidato Cha Kwanza.Haya Yamejiiri Katika Shuhuli Ya Kuwasaka Watahiniwa Wa Mwaka Jana Na Wizara Ya Elimu Ambayo Sasa Imeapa Kuzua Mikakati Mipya Ya Kutatua Pengo Liliopo Katika Kaunti Ya Nairobi Kama Anavyoarifu Mwanahabari Milliah Kisienya …..