Mudavadi Ameomboleza Na Familia Ya Magoha Lavington, Nairobi

EbruTVKENYA 2023-02-06

Views 2

Mkuu Wa Maziri Musalia Mudavadi Amemuomboleza Aliyekuwa Waziri Wa Elimu Profesa George Magoha, Alipozuru Nyumbani Kwake Mtaa Wa Lavington, Jijini Nairobi.
Mudavadi Amemtaja Mwendazake Magoha Kama Aliyeenzi Elimu Nakusema Alifanya Juhudi Zake Za Kuimarisha Eldimu Nchini Kwa Ujasiri Na Kujitolea. Magofa Alifariki Wiki Mbili Zilizopita Baada Ya Kuugua Kwa Muda Mfupi, Huku Tangazo La Kifo Chake Dlikitolewa Katika Hospitali Ya Nairobi.

Share This Video


Download

  
Report form