Seneta Linturi Kuzuiliwa Zaidi Huku Mbunge Richard Onyonka Akisakwa

EbruTVKENYA 2022-01-10

Views 4

Seneta Wa Kaunti Ya Meru Mithika Linturi Ataendelea Kukesha Katika Rumande Hadi Kesho Wakati Mahakama Itakapoamuru Iwapo Atazuiliwa Kwa Siku Au Saba Au La.Mkurugenzi Wa Mashtaka Ya Umma DPP Anataka Muda Wa Juma Limoja Kuendesha Uchunguzi Kabla Ya Seneta Linturi Kushtakiwa Dhidi Ya Matamshi Yake Yanayodaiwa Kuwa Ya Uchochezi.Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti,Mbunge Wa Kituchu Chache Richard Onyanka Pia Anasakwa Kuhusiana Na Matamshi Ambayo Pia Yalilenga Kuchochea Jamii Yake Na Jamii Zingine.

Share This Video


Download

  
Report form