Watu Wengine 142 Wamethibitishwa Kuambukizwa Virusi Vya Corona Leo Hii Kutokana Na Sampuli 2,650 Zilizopimwa Katika Saa Ishirini Na Nne Zilizopita. Hii Inafikisha Idadi Ya Walioambukizwa Corona Nchini Kuwa Laki Moja Elfu 71 Mia 226. Wakati Uo Huo Watu Wengine 18 Wamefariki Kutokana Na Ugonjwa Huo.