Wakenya Wanaitaka Serikali Kulegeza Kamba Ya Kanuni Za Kulegeza Kuenea Kwa Janga La Covid19 Wakisema Kuwa Kanuni Hizo Ziewaathiri Liuchumi. Wengi Tuliozungumza Nao Wanasema Kuwa Chanja Chanja Ya Serikali Inazaa Matunda Kwani Visa Vya Maambukizi Vinapungua.