Watu Wengine 469 Wamethibitishwa Kuambukizwa Virusi Vya Corona Leo Hii Kutokana Na Sampuli 4,194 Zilizopimwa Katika Saa Ishirini Na Nne Zilizopita.Hii Inafikisha Idadi Ya Walioambukizwa Corona Nchini Kuwa Laki Moja, Elfu56 Mia 318. Wakati Uo Huo Watu Wengine 19 Wamefariki Kutokana Na Ugonjwa Huo.