Watu Wengine 486 Wamethibitishwa Kuambukizwa Virusi Vya Corona Leo Hii Kutokana Na Sampuli 4,134 Zilizopimwa Katika Saa Ishirini Na Nne Zilizopita.Hii Inafikisha Idadi Ya Walioambukizwa Corona Nchini Laki 1 Elfu 45 Mia 670.Wakati Uo Huo Watu Wengine 18 Wamefariki Kutokana Na Ugonjwa Huo.