Baraza La Magavana Limeibua Hofu Ya Ongezeko La Virusi Vya Corona Majimboni Kutokana Na Upungufu Wa Fedha Zinazohitajika Kupima Wakenya Katika Kaunti 47. Baraza Hilo Limeshikilia Kuwa Hazijapokea Fedha Kutoka Kwa Wizara Ya Fedha Kwa Miezi Kadhaa Sasa. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Malezo Zaidi.