Ni Afueni Kwa Mkurugenzi Wa Idara Ya Upelelezi (DCI) George Kinoti Baada Ya Mahakama Ya Rufaa Kufutilia Mbali Uamuzi Uliompa Hukumu Ya Miezi 4 Gerezani. Uamuzi Huu Umejiri Wakati Baadhi Ya Vongozi Wamekuwa Wakimshinikiza Kinoti Kujisalimisha Gerezani Kufuatia Uamuzi Huo. Haya Yamejiri Wakati Baadhi Ya Wakaazi Wa Kaunti Ya Meru Wameandamana Kukashifu Uamuzi Wa Kukamatwa Kwa Kinoti.