Wizara Ya Afya Imethibitisha Kupona Kwa Wagonjwa 23 Wa Korona

EbruTVKENYA 2021-12-11

Views 14

Kiwango Cha Maambukizi Ya Virusi Vya Korona Humu Nchini Kimefikia Asilimia 3.2% Baada Ya Wizara Ya Afya Kuripoti Visa Vipya 202 Kutokana Na Sampuli 6,312 Zilizopimwa Katika Saa 24 Zilizopita.
Wizara Hiyo Pia Imethibitisha Kupona Kwa Wagonjwa 23 Na Kufikisha Jumla Ya Idadi Ya Waliopona Kuwa 248,511. Hata Hivyo, Wagonjwa 4 Wameaga Na Kufikisha Idadi Ya Waliofariki Kuwa 5,346. Haya Yanajiri Wakati Kenya Impokea Dozi Millioni 1.17 Ya Aina Ya Pfizer Kutoka Marekani Mapema Hii Leo.

Share This Video


Download

  
Report form