Misa Ya Wafu Waliofariki Katika Mto Enziu Yafanyika Katiika Kaunti Ya Kitui

EbruTVKENYA 2021-12-09

Views 2

Misa Ya Wafu Waliofariki Katika Ajali Ya Basi Iliyofanyika Katika Mto Enziu Imefanyika Hivi Leo Katika Kaunti Ya Kitui. Ibada Hiyo Iliongozwa Na Askofu Joseph Mwongela Wa Jimbo Katoliki La Kitui. Huku Viongozi Wa Kitaifa Wakiongozwa Na Waziri Monica Juma Na Gavana Charity Ngilu Wakihudhuria.

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS