Mtahiniwa Anayeishi Na Ulemavu Aliyeukalia Mtihani Wa Kcse Kutoka Kaunti Ya Kitui Ni Miongoni Mwa Wanafunzi 15 Bora Waliong'aa Katika Matokeo Ya Kcse.Gloria Nzomo Mwenye Ulemavu Wa Ngozi Anadai Kuwa Japo Kwa Unyanyapaa Alioandamwa Nao Kila Uchao Haukumsaza Kujikakamua Katika Masomo Yake.Na Kwengineko Mtahiniwa Bora Katika Mtihani Wa Kcpe Mwaka 2016 Kaunti Ya Samburu Amengaa Tena Katika Matokeo Ya Kcse Kwa Mara Nyengine.Kwa Mengi Zaidi Ungana Naye Mwanahabari Milliah Kisienya…….