Viongozi Wa Chama Cha KNUT Tawi La Transnzoia Wameteta Kuhusu Mptaala Wa CBC Kwa Wanafunzi Wa Shule Za Upili .Chama Cha Kutetea Maslahi Ya Walimu Nchni Knut Tawi La Transzoia Kinaitaka Wizara Ya Elimu Nchini Kuweka Wazi Mpango Utakaotumiwa Kuwaingiza Wanafunzi Chini Ya Mfumo Mpya Wa Cbc Katika Shule Za Upili.