Wanawake Nchini Kenya Wameomwa Kuchukua Nafasi Za Uongozi Ili Kutafuta Suluhisho Kwa Changamoto Zinazowakumba. Katika Hafla Ya Kusherehekea Uteuzi Wa Jaji Martha Koome Kwa Nafasi Ya Jaji Mkuu, Wanawake Katika Uongozi Wamewataka Wanawake Kujitosa Katika Nafasi Za Uongozi Ili Kutoa Sauti Yao Katika Sera.