Kulizuka Kioja Katika Mahakama Ya Milimani Baada Ya Mwalaimu Mmoja Kuhukumiwa Miaka 20 Gerezani Kwa Kosa La Ubakaji.Inadaiwa Mwalimu Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 45 Alimbaka Mwanafunzi Wake Mwaka 2016 .Na Katika Tukio Lingine Tofauti Mfanyibiashara Tom Mboya Amehukumiwa Miaka 27 Gerezani Kwa Kumpiga Risasi William Kosewe Mwaka 2016…