Familia Moja Kutoka Kaunti Ya Nakuru Ina Kila Sababu Ya Kutabasamu Baada Ya Mmoja Wa Familia Yao Kurejea Nyumbani Baada Ya Miaka 54. Familia Hiyo Ya Aliyekuwa Seneta Wasonga Sijiye Wimesema Kuwa Hawajapata Fursa Ya Kutangamana Na Daniel Kariuki Kwa Miaka Kadhaa Na Waliweza Kumpata Kupitia Mtandao Wa Kijamii.