Wanafunzi Nchini Uganda Wanafuraha Ya Kurejea Shuleni Hii Ni Baada Ya Shule Hizo Kufungwa Kwa Takriban Miaka Miwili. Serikali Ya Uganda Imeamuru Mamilioni Ya Wanafunzi Kurudi Shuleni Baada Ya Kusimamishwa Kwa Sababu Ya Janga La Corona. Walimu Wamehimizwa Kufuata Kanuni Za Wizara Ya Afya Ili Kuzuia Msambao Wa Virusi Vya Corona Kwa Wanafunzi.