Waliokuwa Vinara Katika Muungano Wa NASA Wameanza Kutafuta Urafiki Wa Kisiasa Na Viongozi Wengine Baada Ya Kutalakiana Mwaka Mmoja Kabla Ya Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Ujao.Na Kama Anavyoeleza Mwanahabari Jeff Khaemba Aliyekuwa Kinara Mkuu Wa Nasa Raila Odinga Ndiye Amekuwa Wa Tatu Kujiondoa Katika Muungano Huo Ambao Tayari Kalonzo Musyoka Wa Wiper Na Musalia Mudavadi Wa Anc Kugura Na Kuuacha Kuwa Debe.