Raila Kufanya Mazungumzo Na One Kenya Baada Ya NASA Kuvunjika

EbruTVKENYA 2021-08-01

Views 0

Kiongozi Wa Chama Cha Odm Raila Odinga Amesema Yuko Tayari Kufanya Mazungumzo Na Viongozi Katika Muungano Wa Kisiasa Wa One Kenya Hasa Musalia Mudavadi,Kalonzo Musyoka Na Moses Wetangula Baada Ya Kusambaratika Kwa Muungano Wa National Super Alliance Nasa.Matamshi Ya Raila Yanajiri Huku Vinara Wa One Kenya Wakimtaka Kuwaunga Mkono Katika Uchaguzi Mkuu Wa 2022.Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti,Kibarua Kigumu Kinaukabili Muungano Huo Mpya Hasa Kwa Kutoa Mgombea Wa Urais Atakayepambana Na Naibu Wa Rais William Ruto Ambaye Tayari Ameanza Kampeni Zake//

Share This Video


Download

  
Report form