Dar Es Salaam Tanzania
Ziara ya Waziri wa Miundombinu Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dr Leonadr Chamulilo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Nchini TRC Ndg. Masanja Kadogosa , wakiwemo watendaji kutoka TRC wanafika eneo la Ilala Shauri Moyo ambako madaraja hayo makubwa yatajengwa kwaajili ya kufanya uzinduzi.