Gavana Anyang' Nyongo Awasimamisha Kazi Maafisa Wa Kaunti Walionaswa Wakitekeleza Uhuni

EbruTVKENYA 2021-03-25

Views 0

Gavana Wa Kaunti Ya Kisumu Anyang Nyongo Ametoa Amri Ya Kusimamishwa Kazi Kwa Muda Kwa Maafisa Wa Kaunti Maaruf Kama Kanjo Walionaswa Kwa Kamera Wakitekeleza Uhuni Wa Kumvuruta Mfanyibiashara Wa Kike Na Gari Kaunti Ya Kisumu.Kulingana Na Ripoti Mwanamke Huyo Alikuw Amekiuka Sheria Za Corona Za Uuzaji Bidhaa Japo Kukamatwa Kwake Kulikuwa Kinyume Cha Sheria.

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS