Gavana Wa Vihiga Anataka Mfumo Wa C.R.A Kutumika Katika Ugavi Wa Rasilmali

EbruTVKENYA 2020-08-08

Views 33

Gavana Wa Kaunti Ya Vihiga Wilbur Ottichilo Anataka Seneti Kutumia Mfumo Uliopendekezwa Na Tume Ya Ugavi Wa Fedha Za Serikali Kugawia Serikali Za Kaunti Fedha. Ottichilo Anasema Hali Hiyo Itawezesha Sehemu Ambazo Maendeleo Yake Yamekwama Kuimarika Na Kuwa Sawa Na Kule Kulikoendelea. Tayari Seneti Imeshindwa Kusuluhisha Swala La Ugavi Wa Rasilmali Huku Wabunge Wa Seneti Wakikukabaliana Kujadiliana Zaidi Ili Kupata Suluhu

Share This Video


Download

  
Report form