Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho" | Knowing the Substance of Christ
I
Mwili wa Mungu utajumlisha kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili, Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
Mwili wowote usiokuwa na dutu Yake sio Mwili wa Mungu.
II
Thibitisha mwili Wake na njia ya kweli tazamia tabia, maneno na matendo Yake.
Angazia dutu Yake wala si sura Yake ya nje.
Ni upumbavu na ujinga kuangazia sura ya nje ya Mungu.
Ya nje haiamui ile ya ndani,
na kazi ya Mungu haiambatani na dhana za mwanadamu.
III
Je, si sura ya nje ya Yesu ilitofautiana na matarajio ya watu?
Je, si mfano Wake na mavazi Yake yalificha utambulisho Wake?
Si ndio sababu Mafarisayo walimpinga Yesu?
Walilenga sura Yake ya nje wakapuuza maneno Aliyoyasema.
Mungu hutarajia wanaotafuta uonekano Wake, wasirudie historia.
Usifuate Mafarisayo usulubishe Mungu msalabani tena.
Tilia maanani utakavyokaribisha kurudi Kwake.
Waza wazi utakavyotii ukweli.
Ndio wajibu wa kila angojaye kurudi kwake Yesu.
kutoka kwa Neno Laonekana katika MwiliTazama zaidi:
Kupata Mwili (1)
https://sw.kingdomsalvation.org/special-topic/mysteryofincarnation-one.html
Kupata Mwili (2)
https://sw.kingdomsalvation.org/special-topic/mysteryofincarnation-two.html
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433
Barua Pepe:
[email protected]Wasiliana Nasi: +254-700-427-192
WhatsApp: +254-700-427-192