Uteuzi Wa Makamishna Wa IEBC

EbruTVKENYA 2023-03-07

Views 1

Kamati Maalum Ya Uteuzi Wa Makamishna Wa Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Iebc Sasa Imewataka Wakenya Wanaotaka Kuwa Makamishna Wa Tume Hiyo Wanahadi Tarahe 28 Mwezi Huu Kutuma Maombi Yao Ya Kazi.Kulingana Na Kamati Hiyo Maalum,Yule Anayetaka Kuwa Mwenyekiti Wa Iebc Lazima Awe Na Tajriba Ya Miaka 15 Kama Jaji Mahakama Ya Upeo Au Miaka 15 Kama Mwanasheria Au Msomi.

Share This Video


Download

  
Report form