Vikao Vya Kusikizwa Kwa Makamishna Wanne Wa Iebc Vinaendelea Baada Ya Wakili Wa Francis Wanderi Kupinga Mamlaka Ya Kamati Ya Bunge Kuhusu Sheria Kusikiza Maombi Ya Kutaka Makamishna Hao Kutimuliwa. Aidha Gichamba Amesema Kuwa Hana Imani Kuwa Kamati Hiyo Itatoa Uamuzi Bila Kushawishika Kisiasa