Kongamano Lililowaleta Pamoja Washika Dau Kutoka Sekta Mbalimbali Ili Kujadili Matayarisho Ya Uchaguzi Mkuu Mwaka Ujao, Limetoa Mapendekezo Kuhusu Bajeti Ili Kuafikia Malengo Ya Uchaguzi Mwaka Ujao. Wakiongozwa Na Jaji Mkuu Martha Koome, Washikadau Hao Wamesema Kuwa Kila Kundi Linahitaji Fedha Ili Kujiendeleza Vilivyo Na Kuepukana Na Ila Kama Vile Ufisadi. Lucy Riley Anatuletea Taarifa Hio.