Kiongozi Wa ANC Apinga Uwezekano Wa Kuahirisha Uchaguzi Mkuu 2022

EbruTVKENYA 2021-07-24

Views 1

Kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi ametia doa uwezekano wa kuahirisha uchaguzi wa mwaka ujao labda tu kwa idhini ya katiba. Hata hivyo kulingana na gavana wa Nyandarua Francis Kimemia ametaja kuwa upo uwezekano wa kuahirisha uchaguzi ikiwa wakenya watakubaliana. Kulingana na uamuzi uliofanywa na mahakama ya bara la Afrika kuhusiana na haki za binadamu upo uwezekano wa kubadili tarehe ya uchaguzi iwapo taifa litakuwa katika ngazi ya dharura.

Share This Video


Download

  
Report form