Wabunge Wadai Wakiritimba Katika Serikali Wahusika Na Mashambulizi.

EbruTVKENYA 2021-11-10

Views 9

Polisi Wawili Kutoka Kitengo Cha GSU Wanaripotiwa Kufariki Baada Ya Kushambuliwa Ma Majambazi Karibu Na Kituo Cha Polisi Cha Kamwenje Katika Eneo La Laikipia Magharibi. Haya Yajiri Huku Baadhi Ya Viongozi Kutoka Maeneo Yanayokumbwa Na Utata Huo Wakisema Kuwa Siasa Zinatumiwa Kuchochea Majambazi Hao.

Share This Video


Download

  
Report form