Kuna Madai Kuwa Serikali Ya Kenya Haijaitisha Msaada Wowote Katika Uchunguzi Wa Kifo Cha Anges

EbruTVKENYA 2021-10-28

Views 2

Huku Wito Wa Haki Kwa Agnes Wanjiru, Anayedaiwa Kuuwawa Na Majeshi Wa Uingereza, Ukizidi Kushamiri, Waziri Wa Ulinzi Wa Uingereza Ben Wallace Anadai Kuwa Serikali Ya Kenya Haijaitisha Msaada Wowote Katika Uchunguzi Wa Kisa Hicho. Wakati Huo Huo Mkuu Wa Majeshi Ya Uingereza Anasema Ameshitushwa Na Madai Kwamba Wanajeshi Wa Uingereza Huenda Walihusika Na Mauaji Ya Mwanamke Mkenya.

Share This Video


Download

  
Report form